Posts

BORESHA TENDO LA NDOA NA NGUVU ZA KIUME

Image
Je unafahamu vyakula na vinywaji tunavyotumia sasa pamoja na Mfumo wa maisha vimekuwa vikichangia changamoto nyingi   sana kiafya hasa Katika kuupatia mwili virutubisho vyote muhimu na kusababisha matatizo mbali mbali ya  katika mwili ikiwemo Organ zetu za uzazi? Mara nyingi huwatokea wanafamilia wengi either Baba au Mama kukosa hamu ya tendo la ndoa au kama ni mwanaume kushindwa kabisa kumrithisha mwenzi wake, sasa wengine huanza kudhani labda kuna ushirikina ndani yake kumbe ni Athari tuu za  mfumo tu wa mwili Kama vile Mzunguko wa damu, mfumo wa chakula, Uzito mkubwa na kupelekea   kuathiriwa kwa mfumo mzima wa uzazi kutokana na uwepo wa sumu au baadhi ya vitu kutokuwa sawa katika mwili. Hivyo basi ili kuondokana na changamoto hii waweza kutumia MACA SUPPLEMENT PACK  Vitakusaidia sana ku udisha ubora wako katika tendo la ndoa. Hivi ni virutubisho vyenye ubora wa kiwango cha juu kutoka Aloe Supplement, ambavyo ni virutubisho bora sana kw...

ELIMIKA, TEZI DUME SIO UGONJWA WA KUDUMU NI TATIZO LINALO EPUKIKA.

Image
FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA ZA KUONDOKANA NA TATIZO HILI.   E limu ya tezi dume ni pana sana na inayohitaji umakini sana kuifuatilia leo tutaielewa vizuri sana, Tezi dume ni ogani amabayo kila mwanaume huzaliwa nayo hivyo kila mwanaume anazaliwa ana ogani hii ya Tezi dume.  Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi y...

PATA UFAHAMU KISUKARI SIO TATIZO LA KUDUMU, LINATIBIKA

Image
KISUKARI SIO UGONJWA WA KUDUMU, UNATIBIKA. Duniani takwimu zinaonyesha kila sekunde 10 mtu mmoja mwenye kisukari hufariki na zaidi ya watu 40,000 wenye kisukari Tanzania hukatwa miguu pia zaidi ya watu milioni 422 wana kisukari duniani hivyo kupelekea ugonjwa huu kushika nafasi ya 5 kama kisababishi cha vifo duniani. Ugonjwa wa kisukari ni moja ya ugonjwa unaowahangaisha watu wengi duniani kwani mtu anaweza akaishi na ugonjwa huu kwa muda mrefu takribani miaka 5 na kuendelea bila hata ya kujijua kuwa anatatizo la kisukari, kwa kiwango kikubwa hutokana na mfumo wa maisha wa mtu atakavyoamua kuishi, hivyo huu ugonjwa unaweza ukampata kila mtu mtoto kwa mtu mzima ugonjwa wa kisukari ni nini? ni ugonjwa unaotokana pale insulin inaposhidwa kubalansi  sukari, ambayo homoni ya insulin hutengenezwa kwenye kongosho(pancreas) na kongosho inaposhindwa kufanya kazi vizuri hupelekea homoni ya insulin kupungua au kuongezeka na ndo hapo hutokea utofauti wa kisukari, pia ugonjwa huu hauamb...