Posts

Showing posts from February, 2020

PATA UFAHAMU KISUKARI SIO TATIZO LA KUDUMU, LINATIBIKA

Image
KISUKARI SIO UGONJWA WA KUDUMU, UNATIBIKA. Duniani takwimu zinaonyesha kila sekunde 10 mtu mmoja mwenye kisukari hufariki na zaidi ya watu 40,000 wenye kisukari Tanzania hukatwa miguu pia zaidi ya watu milioni 422 wana kisukari duniani hivyo kupelekea ugonjwa huu kushika nafasi ya 5 kama kisababishi cha vifo duniani. Ugonjwa wa kisukari ni moja ya ugonjwa unaowahangaisha watu wengi duniani kwani mtu anaweza akaishi na ugonjwa huu kwa muda mrefu takribani miaka 5 na kuendelea bila hata ya kujijua kuwa anatatizo la kisukari, kwa kiwango kikubwa hutokana na mfumo wa maisha wa mtu atakavyoamua kuishi, hivyo huu ugonjwa unaweza ukampata kila mtu mtoto kwa mtu mzima ugonjwa wa kisukari ni nini? ni ugonjwa unaotokana pale insulin inaposhidwa kubalansi  sukari, ambayo homoni ya insulin hutengenezwa kwenye kongosho(pancreas) na kongosho inaposhindwa kufanya kazi vizuri hupelekea homoni ya insulin kupungua au kuongezeka na ndo hapo hutokea utofauti wa kisukari, pia ugonjwa huu hauamb...